Tuesday, January 27, 2015

KALI ZAIDI : Baada ya Beki AC Milan kupiga roba zaidi ya ile ya Tambwe,aangushiwa rungu

Beki wa AC Milan Philippe Mexes amefungiwa mechi nne kwa kitendo chake cha kumtia kabali nahodha wa Lazio Stefano Mauri katika mchezo wa ligi kuu ya Italia Serie A.

Katika ligi kuu ya Tanzania bara siku za karibuni kumekuwa na malumbano ya kutiwa kabali kwa mshambuliaji wa Yanga Africa Hamis Tambwe na mchezaji wa Ruvu shooting Michael Osei ikionekana ni tendo kubwa likiitwa la kikatili.

Cheki picha hizo za Mexes.



No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.